A famous song from East Africa
with lovely images of Kenya where I lived for a few years.

Nilikwelezeyaka oh mama, (I used to tell you oh my lady)
Fatou, wangu mama (Fatou, my lady)
Nilikwelezeyaka oh mama, Fatou, wangu mama
Mapenzie ya kwetu eeh (This love of ours)
haita tawi hata mama (Will not survive much longer)
Mapenzie ya kwetu eeh, haita tawi hata mama
Tabia yako na yangu (Your character and mine)
haisikilizani (Are incompatible)
Tabia yako na yangu haisikilizani
Unaona (You need to understand)
unaona sasa we mama (You need to understand, my lady)
Unaona… unaona sasa we mama
* * * * * * * * * *
Unapenda kuvaa (You like to dress well)
Mimi sina namna oh Fatou we (I have no way to support that)
Unapenda kula vizuri (You like to dine well)
Mimi sina pesa oh Fatou we (I have no money, oh Fatou)
Nipe mali (Borrowing money)
Sizoe (I do not want to become a regular at this)
Niuwe mutu (Kill someone)
Nipate dawa ya feza (So that I can find a way to wealth)
Niuwe mutu / Watanifunga (They will surely lock me up)
Niuwe mutu thambi kwa Mungu Baba (That’s a sin against the Lord God)
Kama hunipendi we (If you do not love me as I am, then)
Uende lote mama (Be completely gone, my lady)
Kama hunipendi we / Uende lote mama
Shauri yako, shauri yako eeh (Its your problem)
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, wende lote Zena wangu (Be completely gone, my lady)
Siwezi kuua mutu mama (I cannot kill a soul, my lady)
Thambi kwa Mungu Baba yo (That’s a sin against the Lord God)
Siwezi kuua mutu mama, thambi kwa Mungu Baba yo
repeat